News & Events

Read more news and comming events


 • 25July 2017
  Kikao kati ya IPA na Wakurugenzi Utumishi na Uendesheji wa SMZ.

  Hii ni kujadili mustakbal na maendeleo ya mafunzo mafupi na kuwajenga uwezo watumishi wa umma na pia kuzindia progamu ya mafunzo mafupi kwa watumishi wa umma kwa kada mbali mbali.

 • 05Sept 2017
  Mafunzo mafupi ya kuwajenga uwezo Makatibu Muktasi(Secretaries).

  Hii ni pamoja na kuwajenga uwezo wa kiutendaji na kuepukana na kufanya kazi kwa mazoea hasa kwa makatibu muktasi. Mafunzo haya yalilenga zaidi kwa makatibu muktasi wa viongozi katika ngazi mbali mbali wa SMZ.

 • 04July 2017
  Mafunzo ya awali kwa watumishi wapya.

  Haya ni mafunzo ya msingi kwa kila mtumishi mpya ili kuwajengea uwezo kimadili, kupata uwelewa wa utumishi na taratibu zake ili kuweza kufikia malengo ya utumishi bora wa umma.

 • 06July 2017
  Mafunzo ya kuwajenga uwezo Masheha wapya

  Huu ni utaratibu mpya kwa Masheha wateuliwa kupatiwa mafunzo haya ya msingi kwa kila Sheha mpya ili kuwajengea uwezo kimadili, kupata uwelewa wa utumishi na taratibu zake ili kuweza kufikia malengo ya utumishi bora wa umma na kwenda na kasi ya madiliko ya ugatuziBack to Top