Student Advertisements

PO/IPA/07/04/VOL.I/     TAREHE: 27 FEBRUARI, 2018


KUH: TANGAZO MAALUM

MKURUGENZI WA CHUO CHA UTAWALA WA UMMA ANAWATANGAZIA WATUMISHI WA UMMA, WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE PAMOJA NA WANANCHI WOTE KWA UJUMLA KUWA FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO KWA MAFUNZO YA CHETI NA STASHAHADA KWA MUHULA WA MASOMO UTAKAOANZA MACHI 2018 ZINATOLEWA HAPO CHUONI TUNGUU, KWA UPANDE WA PEMBA ZINAPATIKANA KATIKA TAWI LA IPA (SKULI YA Dr. OMAR ALI JUMA) WAWI CHAKE CHAKE PEMBA AU TEMBELEA TOVUTI YETU www.ipa.ac.tz.

PIA CHUO KINAENDESHA MAFUNZO KWA MUDA WA JIONI KWA WATUMISHI NA WANANCHI WATAKAPOPENDA KUJIUNGA KWA MUDA HUO.

KWA MAELEZO ZAIDI UNAOMBWA KUFIKA OFISINI KWETU TUNGUU ZANZIBAR AU SKULI YA SEKONDARI YA DR OMAR ALI JUMA (WAWI PEMBA) AU UNAWEZA KUPIGA SIMU KWA NAMBARI 0773486839 AU 0779861027 AU 0773123694 NA UPANDE WA PEMBA WASILIANA NAMBARI ZIFUATAZO:- 0777430397 AU 0777472941.

Ahsante.

(KHAMIS JUMA KHAMIS)
/MKURUGENZI
CHUO CHA UTAWALA WA UMMA
ZANZIBAR


 Back to Top